SUPERDOLL YAZINDUA MATAIRI YENYE UMADHUBUTI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Superdoll, Seif Seif (kulia) akimuonesha Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Usalama Tanzania, Johanes Kahatano, tairi la kisasa  la Michelin Energy XM2   lililotengezwa kuhimili barabara mbalimbali zikiwemo mbovu Afrika Mashariki. Hfala hiyo ya uzinduzi wa uuzaji wa taifri hizo umefanyika asubuhi leo kwenye Hoteli ya Serena, Dar esSalaam.Kushoto ni Meneja wa Kanda wa Michelin, Freddi Stoeffler.
Afande Kahatano, akizungumza na vyombo vya habari baada ya uzinduzi wa tairi hizo. zenye usalama na madhubuti
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Superdoll, Seif Seif (kulia) na Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama barabarani, Kahatano wakiwa na sanamu iliyoshika aina ya tairi hizo
Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Kampuni ya Superdoll, Ibrahim Juma akitoa shukrani kwa waandishi wa habari baada ya hafla hiyo kumalizika
                            Seif (kushoto) na Khatano wakibadilishana mawazo wakati wa hafla hiyo
 Seif Seif akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa tairi hizo
Mkurugenzi Mtendaji wa Superdoll, akizindua rasmi tairi hizo aina ya Michelin Energy XM2
Freddi akielezea umadhubuti wa tairi hizo
                                                 Sehemu ya wanahabari waiohudhuria uzinduzi huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

ASANTE GWIJI YAYA TOURE KWA KUPASUA UKWELI UKWELI KUPENDELEWA KWA MOROCCO