WATU 40 wanaosadikiwa kuwa raia wa kigeni wadaiwa kufa kwa kukosa hewa wa wakisafirishwa kwenye kontena wilayani Kongwa, Dodoma leo.
Inadaiwa baadhi wamenusurika lakini wako hoi wamekimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma. Haijajulikana watu hao walikuwa wanatoka nchi gani na wanapelekwa nchi gani.
Kamanda wa Matukio inawaahidi kuwaletea habari zaidi juu ya tukio hilo kwa kadri itakavyokuwa inazipata kutoka Dodoma.

Comments