DK ULIMBOKA APELEKWA KUTIBIWA NJE YA NCHI

Madaktatri na wauguzi wakisukuma ambulance iliyokuwa imembeba, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyakazi, Dk. Steven Ulimboka, alipofikishwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, baada ya kutekwa na kupigwa na watu wasiojulikana Jumatano Usiku na kutupwa usiku wa Pande, Dar es Salaam.

Dk. Ulimboka amesafishwa leo kwenda India kwa matibabu zaidi baada ya kuonekana hali kuwa mbaya. Gharama za kumtibu akiwa India ni Dola za Kimarekani 40,000.

Ameondoka akiwa chini ya ulinzi mkali wa Madaktari. huku wanaharakati wenye mabango ya kulaani unyama aliofanyiwa Ulimboka wakijitokeza Muhimbili na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salam.

Haikuweza kufahamika mara moja ni nchi gani hasa atapelekwa kutibiwa. Lakini fununu ni kwamba anaweza kupelekwa India au Afrika Kusini.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA