VETA YASHIRIKI MAONYESHO YA NANE NANE DODOMA


  Baadhi ya wakazi wa mkoani Dodoma wakiangalia viatu vinatengenezwa na wajasiriamali wa hapa nchini kwenye Banda la VETA katika maonyesho ya Nanenane yanayoendelea kwenye Viwanja vya nzuguni Dodoma

 Meneja Uhusiano wa VETA, Grace Kabogo wa kwanza kushoto akipanga bidhaa zilizotengenezwa na wajasiriamali kwenye maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya nzuguni Dodoma

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA