BREAK NEWS MSANII MAARUFU NCHINI TANZANIA DIAMOND PLATNUM HOI KWA MAUMIVU YA KIFUA AFIKISHWA HOSPITALI NA KUPUMZISHWA....

Kwa mujibu wa Ommy Dimpoz ambaye ni mshikaji wake wa karibu tayari msanii huyo amesharuhusiwa lakini majibu ya vipimo
vyake yatatoka kesho.
...
Miezi ya hivi karibuni Diamond amefululiza kufanya show katika mikoa mbalimbali bila kupata mapumziko ya kutosha na huenda hiyo ndio ikawa ni sababu.
Kupitia Twitter Diamond ameandika
"Dah hali yangu si nzuri, naumwaaa."

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA