Photogenic bebi National Competit


ChemiCotex Industries Limited chini ya udhamini wa bidhaa zake bora za watoto ‘bebi’ inapenda kukuletea shindano la kwanza la kitaifa “ Picha Nzuri ya Mtoto”

Lengo la shindano hili ni kuwaleta wazazi pamoja na watoto wao wenye umri kati ya miezi 0 hadi miezi 18. Shindano la Picha Nzuri ya Mtoto inakuhakikishia …
Shindano hili ni kwa ajili ya watoto walio ndani ya Tanzania pekee na itaendeshwa kuanzia tarehe 1 Novemba hadi 30 Novemba tu.

Tunapenda kuwahimiza sana kina Mama, Baba, Shangazi, Wajomba, Mama na Baba Wadogo na Wakubwa, Bibi nd Babu pamoja na Wazazi Walezi:-

Piga au pata picha nzuri ya mwanao kisha tuma hiyo picha kwa njia mojawapo:
Tuma barua pepe kwenda photobebi@gmail.com AU
Peleka TSN, Shoprite na maduka shiriki AU
Peleka ofisi za ChemiCotex zilizopo mikoani Tanzania nzima

Chemi Cotex Industries inakuahidi zawadi bora kwa ajili ya mtoto wako
*Vigezo na Masharti kuzingatiwa. Hasa matumizi ya picha ya watoto washindi kwa ajili ya kalenda ya Bebi.
--

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE