WAANDISHI WA HABARI LINDI WANOLEWA.

Waandishi wa haKlabu ya Waandishi wa Habari mkoa wa Lindi wakiwa katika
Picha ya Pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya
Ruangwa Bw Reubern Mfune mara baada ya kufungua mafunzo ya siku nne
kwa ya kuwajengea uwezo wanahabari kuhusiana na uandishi wa Habari za Mahakamani.
Wakiwa kwenye mafunzo.
Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Lindi, Abdulaziz Ahmeid (Channel ten) akimkaribisha Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa , Reubern Mfune kufungua mafunzo ya siku nne kwa wanahabari hao
Wakinukuu mambo mbalimbali kwenye mafunzo hayo.
Wanahabari 18 wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Lindi kufuatia
mradi wa "Press club" Wameanza mafunzo ya uandishi wa habari za
mahakamani ikiwa ni mfululizo wa Mafunzo yanayoendeshwa na Umoja wa
Vilabu vya waandishi wa Tanzania

Mafunzo hayo ya siku nne  yanashirikisha wanahabari toka vyombo
mbalimbali yameanza jana Wilayani Ruangwa na kufunguliwa na Mkurugenzi
mtendaji wa Halmashauri hiyo
Baada ya mafunzo hayo Wanahabari hao watafanya mkutano mkuu wa mwaka
wa klabu hiyo ikifuatiwa na Mkutano wa Wadau wa Habari walio katika
wilaya hiyo

Mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa ufadhili wa mradi wa Press Club Chini
ya Umoja wa Vilabu vya waandishi wa habari Tanzani(UTPC)Yameanza leo
wilayani Ruangwa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE