WAZIRI MKUU PINDA KATIKA MAZISHI YA MTUNZA IKULU YA ARUSHA

Waziri Mkuu, Mizengo PInda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mtundza Ikulu ya Arusha (hose keeper), Lucy Samillah katika ibada ya mazishiliyfanyika nyumbani kwa marehemu, Arsha Mjini Oktoba 31, 2012. )Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizemgo Pinda akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa mwanagalizi wa Ikulu ya Arusha (House Keeper), Lucy Samilaah katika mazishi yake yaliyofanyika, Arusha Oktoba 31, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka shada la maua kwenye  kaburi la aliyekuwa mtunza Ikulu ya Arusha (House Keeper), Lucy Samillah  katika Mazishi yaliyofanyika Arusha, Oktoba 31,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE