CRDB YADHAMINI KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WANAFUNZI


Mwakilishi wa CRDB, Katemi Silas Bugami (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi wakitoka kwenye ukumbi wa Machui baada ya kutoa mada zao kwa wanafunzi.
Picha na Martin Kabemba.
Wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya Afrika Mashariki, Kati na Nigeria wanakutana Machui, mkoa wa Kusini Unguja kwenye Kongamano la kimataifa la siku 5 Kongamano hilo limefadhiliwa na Benki ya Posta Tanzania na Benki ya CRDB kupitia umoja wao wa AIESEC wenye makao makuu yake mjini Dar es salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MWABUKUSI ATOA NENO SIMBA KUSUSIA DERBY DHIDI YA YANGA

RAIS TRUMP ARARUANA NA RAIS WA UKRAINE

SERIKALI YALIKUBALI OMBI LA DIAMOND

HOSPITALI YA MUHIMBILI YAANZISHA HUDUMA YA KISASA YA KUZIBA MAPENGO

ARAJIGA AULA KOMBE LA DUNIA