SIMBA YAPIGWA NA TOTO AFRICAN MOJA KWA NUNGE

Mchezaji Paul Ngalema  wa Simba akimtoka Mussa Said 'Kimbu' wa Toto African ya Mwanza, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)

Mabingwa watetezi wa ligi kuu tanzania bara wamemaliza vibaya mzunguko wa kwanza wa ligi kuu baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0. 

Kwa matokeo haya simba inaendelea kukaa katika nafasi ya tatu mpaka msimu ujao wa ligi kuu tanzania bara. 

dakika ya 73 mussa said, aliipatia toto bao baada ya kumalizia pasi ya erick murilo. Katika mchezo huo kila timu ilifanya mashambulizi makali lakini simba ilionekana wazi kutotaka kufungwa baada ya wachezaji wake kukosa mabao katika.
 


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*