NMB YAFUNIKA KWA TUZO ZA WALIPA KODI NCHINI

 Makamu wa Rais, Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi moja ya tuzo ya mshindi wa jumla kitaifa wa mlipa kodi hapa nchini, Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB, Mark Wiessing kwenye hafla ya 6 ya Siku ya Mlipa Kodi jijini Dar es Salaam jana.
 Afisa Mkuu wa fedha wa benki ya NMB, Bw.Waziri Barnabas akiwa amebeba moja ya tuzo zilizokakabidhiwa kwa benki NMB baada ya kuibuka mshindi katika Siku ya Mlipa Kodi nchini. Katika hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana. NMB ilikabidhiwa tuzo ya mshindi wa jumla kitaifa wa mlipa kodi, mshindi wa pili katika taasisi za fedha na mshindi wa pili katika kundi la walipa kodi wakuu nchini.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB, Mark Wiessing (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi wa SuperDoll Group, Bw. Seif Ally Seif katika hafla hiyo.
Makamu wa Rais, Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto kwake), Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB, Mark Wiessing (Wa kwanza Kulia) , Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (Wa pili kushoto) Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya (kushoto) na washindi kumi bora wa siku ya mlipa kodi nchini.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.