WAANDISHI WALIOKUWA KATIKA ZIARA YA NDUGU KINANA WAREJEA DAR ES SALAAM
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC,
Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatib, wakiwa na maofisa wa Chama na
Waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere baada ya kuwasili kutoka jijini Arusha kwenye ziara ya kikazi ya
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana. Huyu wa upande wa kulia
unamjua?

Comments