AZAM HUREE, SIMBA, YANGA ZAANGUKIA SARE

Yanga ya Dar es Salaam, imetoka suluhu ya 00 na timu ya Polisi katika mchezo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

Simba nayo imetoka sare ya mabao 2-2 na Toto Afrika ya Mwanza katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza.

Katika Ligi hiyo ya Vodacom, Azami imeibuka kidedea kwa kuifunga Ruvu Stars katika mechi iliochewa mjini Kibaha, Pwani

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda