BREAKIIIING NEWS, MAJAMBAZI YAMUUA KWA RISASI MHINDI NA KUPORA SH. MIL 100 DAR

MAJAMBAZI yamempiga risasi mfanyabiashara wa kihindi na kumuua papo hapo na kumpora sh. mil 100 eneo la Selander Bridge, Upanga Dar es Salaam jioni hii.

Kwa mujibu wa walioshuhudia sakata hilo, wanasema mtoto wa kike wa marehemu  pia alipigwa risasi ya paja, lakini akafanikiwa kuendesha gari lao huku akiwa na mwili wa marehemu babake hadi Hospitali ya Regency.

Hivi sasa msichana huyo shupavu, anaendelea na matibabu  katika hospitali hiyo.

Habari zaidi tutaendelea kuwaletea kadri tutakavyokuwa tunazipata.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA