KINANA ATINGA GAIRO NA KUFUNGUA MASHINA KIBAO

Wafuasi wa CCM katika Kijiji cha Chakwale, wilayani Gairo, wakiimba wimbo wakati wa kumlaki Katibu Mkuu wa CCM, Kinana alipowasili kuzindua shina la Chakwale.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
 Kinana akiituza fedha kwaya ya wazee walitumbuiza wakati wa uzinduzi wa tawi hilo leo
Mmoja wawanachama wapya wa CCM akivishwa shati lenye rangi ya chama hicho.

Wanachama wapya wa CCM wakionesha kadizao mpya baada ya kukabidhiwa na Kinana baada ya kuzindua shina la Kibedya wilayani Gairo leo

Kinana akizindua tawi jipya la Tupendane
 Kinana azindua shina jipya la Zalubunga mjini Gairo
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby akijadilana jambo na Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye wakati wa uzinduzi wa shina la Kibedya

 KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman (kushoto) akilakiwa na Chipukizi wa CCM, alipofika Makao Makuu ya CCM Wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro leo, akiwa katika muendelezo wa ziara ya kikazi ya siku nane ya kuimarisha uhai wa chama hicho, mkoani Morogoro. Aliyeongozana naye ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

TANZIA;.KWA KHERI DADA YETU MPENDWA EDITHA, TASNIA IMEPATA PIGO

NATAKA TANZANIA, KENYE NA UGANDA IWE NCHI MOJA, ILI BAHARI YA HINDI IWE YETU SOTE - MUEVENI

RAIS SAMIA AWASILI IRINGA KWENDA MEI MOSI NJOMBE