MAMBO ZAIDI YA TAMASHA LA PASAKA DAR

 Msanii Bonny Mwaitege (katikati) akionesha minjonjo yake pamoja na wasanii wake, wakati wa Tamasha la Pasaka lililofanyika wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Sakaam.
 Huyo si mpenzi wa soka, bali ni mpenzi wa muziki wa injili akishangilia wakati Rose Mhando akitumbuiza jukwaani.
 Msanii mahiri wa muziki wa injili, Sipho Makhabane (wa pili kushoto) kutoka Afrika Kusini akiungwa mkono na baadhi ya wasanii wa muziki huo, alipokuwa akifanya vitu vyake katika Tamasha la Pasaka, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika tamasha hilo, alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati wa Tamasha la Pasaka, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
 ehemu ya umati wa wapenzi wa muziki wa injili wakishuhudia tamasha hilo.
0068
Msanii Rose Mhando na kundi lake wakifanya maajabu yao wakati wa tamasha hilo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA