BREAKIIING NEWSSSS. MTWARA KWATIBUKA TENA

Hali ni tete katika Mkoa wa Mtwara baada ya kuzuka vurugu kubwa zinazoendelea hadisasa ambapo imeripotiwa kuwa askari polisi zaidi ya watatu wameuawa huku gari la polisi la maji ya kuwasha, ofisi ya CCM zachomwa moto wakati shule ,hospitali na soko zaharibiwa . Mbali na mali hizo pia daraja la Mikindani limevujwa na kwa sasa polisi wanatumia risasi za moto kupambana na wananchi wanaofanya Vurugu hizo ambazo chanzo ni Sakata la Gesi. Habari zaidi na picha zinakujia hivi punde

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda