MWANAMITINDO WA KIMATAIFA MTANZANIA MAGESSE AZIDI KUTESA

 Mwanamitindo wa Kimataifa kutoka Tanzania, Millen Magesa wakipita jukwaani   kuonesha  mavazi yake katika Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week, lililofanyika kwenye Stesheni ya Treni ya Ravos ya Mjini Tshwane, Pretoria, Afrika Kusini hivi karibuni.
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa nchini Afrika Kusini, David Tlale akiwa na Mwanamitindo wa Kimataifa kutoka Tanzania, Millen Magesa wakipita jukwaani  stejini mara baada ya kuonesha ya kuonesha  mavazi yake katika Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week, lililofanyika kwenye Stehsni ya Treni ya Ravos ya Mjini Tshwane, Pretoria, Afrika Kusini hivi karibuni.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

MAMBO 7 MUHIMU YA KUYAEPUKA BAADA YA KUACHANA...