NMB YAFADHILI MKUTANO WA WAWEKEZAJI WA KUBANGUA KOROSHO

IMG_0022 
Mkuu wa kitengo cha huduma za Kilimo NMB , Robert Pascal akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kutangaza udhamini wa benki ya NMB wa dola elfu tano ($ 5000.00) kwa ajili ya kuadhimisha  mkutano wa wawekezaji wa kubangua Korosho utakaofanyika mwezi wa Novemba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti na Mifumo ya Teknolojia kutoka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) John Kyaruzi,
IMG_0025 
Mkuu wa kitengo cha huduma za Kilimo NMB, Robert Paschal akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kutangaza udhamini wa benki ya NMB. Benki ya NMB imetoa  dola elfu tano ($ 5000/=) ili kuadhimisha  mkutano wa wawekezaji wa kubangua Korosho utakaofanyika wiki ijayo jijini Dar es salaam  kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu Bodi ya korosho,  Mfaume Juma anaefuatia ni Mkurugenzi mkuu wa kituo cha uwekezaji, John Kyaruzi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI