Mwili
wa Marehemu Dk. Sengondo Mvungi ukifanyiwa maombi mara baada ya
kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Wanachama
wa NCCR-Mageuzi wakiwa wamelibeba sanduku lililohifandhi mwili wa
kiongozi huyo wa NCCR-Mageuzi na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Mpya.
Waombolezaji waliofika uwanjani hapo kuupokea Mwili wa Dk. Mvungi................BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI»
Comments