KATIBU MKUU WA CHADEMA CHUNYA AJITOA NA KUJIUNGA CCM

  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Brayson Mwasimba (kulia) akiwa amebebwa juu na wafuasi wa CCM baada ya kukabidhiwa kadi na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kutangaza kujitoa chama hicho na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara uliofanyika  katika Kata ya Lupa, wilayani Chunya, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo kwa kuata Ilani ya Uchaguzi ya
 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Brayson Mwasimba (kulia) akionesha kadi ya CCM aliyokabidhiwa  na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kutangaza kujitoa chama hicho na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara uliofanyika  katika Kata ya Lupa, wilayani Chunya, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo kwa kuata Ilani ya Uchaguzi ya Ilani.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA RICHARD MWAIKENDA

 Kinana akiruka katika moja ya ngazi zilizosukwa katika ujenzi wa barabara ya Mbeya-Chunya alipokagua akiwa njiani kwenda Jimbo la Lupa kuendelea na ziara hiyo.
 Kinana akilakiwa na Mbunge wa Jimbo la Songwe, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philip Mulugo wakati wa mapokezi katika Kijiji cha Charangwa, wilayani Chunya.
 Wananchi wakishangilia wakati Kinana akihutubia katika Kijiji cha Charangwa.

 Kinana na Nape wakikagua ujenzi wa barabara mpya ya Mbeya-Chunya
 Katibu wa Nec, Siasa na  Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro,akiwa akizungumza na Paulo Gongo ambaye ni Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Uchimbaji wa Madini cha Matundasi wilayani Chunya leo.
Mzee wa kimila wa Kabila la Wakimbu, Luwi Sadala akimkabidhi silaha za asili Katibu Mkuu wa CCM, Kinana kwa kumtambua kuwa shujaa na mmoja wa wazee wa kimila wa Wakimbu, Lupa, wilayani Chunya
Kinana akipandisha bendera kuzinduz tawi jipyala vijana la CCM la Stendi ya Chunya mjini.

 Wananchi wakishangilia wakati Kinana akihutubia wakati wa uzinduzi wa tawi la stendi

 Kinana akiwa na baadhi ya wachimbaji wadogo alipotembelea Kituo cha Mafunzo cha wachimbaji madini wadogo wadogo cha Matundasi wiayani Chunya leo.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Abbas Kandoro akiwakabidhi msaada wanachama wa kikundi cha Power mashine ya kufyatulia matofali' Katikati ni Katibu Mkuu wa CCM, Kinana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI