Shabiki mkubwa wa soka, Rais Dkt. Jakaya Kikwete apokea kombe la Dunia!!

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua na kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza leo jioni (picha na Freddy Maro) D92A7955 D92A7966 
Rais Dkt. Jakaya Kikwete ni shabiki mkubwa mno wa michezo, na kila timu ya Taifa inapofanya kazi nzuri huwa anafarajika sana

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI