JK AMWAPISHA IGP MPYA MANGU NA NAIBU IGP KANIKI

 Rais Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi nchini, IGP, Ernest Mangu (kushoto), Naibu Mkuu wa Jeshi hilo, Abdulrahman Kaniki (kulia) wakati wa hafla ya kuwaapisha makamanda hao wapya, Ikulu, Dar es Salaam leo. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
 Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akimwapisha Kamishna Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam
 JK akimwapisha Kamishna Abdulrahman Kaniki kuwa Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
 JK AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAKAMANDA HAO WAPYA WA JESHI LA POLISI NCHINI NA MAKAMU WA RAIS, DK MOHAMED BILAL NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, PEREIRA AME SILIMA (WA PILI KULIA) NA KATIBU MKUU KIONGOZI ,OMENI SEFUE (KULIA)
 Rais Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi nchini, IGP, Ernest Mangu (kushoto), Naibu Mkuu wa Jeshi hilo, Abdulrahman Kaniki (kulia) pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi mstaafu, IGP, Said Mwema wakati wa hafla ya kuwaapisha makamanda hao wapya, Ikulu, Dar es Salaam
 JK akiwa na IGP Mangu (kushoto) IGP mstaafu Said Mwem
                                                              JK akiwa na IGP Mangu
 JK akiwa na IGP Mangu pamoja na familia ya kamanda huyo mpya
                        JK akiwa na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi, Kamishna Kaniki
                                            JK akiwa na familia ya Kamishna Kaniki
 JK akiwa na makamanda hao wapya pamoja na makamishna wa jeshi hilo
 JK akiwa na viongozi wa jeshi hilo pamoja na makamnda hao wapya
                                      JK akiwa na familia ya IGP mstaafu, Said Mwema
 IGP Mstaafu Said Mwema akiagana na Rais Jakaya Kikwete
 IGP Mangu akizungumza na wanahabari
 JKakizungumza na makamanda hao
                                      IGP Mangu akipongezwaa makamanda wa jeshi hilo
                                             IGP mpya Mangu akipanda gari lake la ua IGP
                                                         IGP akiondoka kwa gari hilo
Naibu IGP, Kaniki akipanda kwenye gari tayari kuondoka Ikulu, baada y kuapishwa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA