WANAWAKE WAFANYAKAZI WA NBC WAZINDUA MTANDAO UTAKAOJUMUISHA WATEJA WANAWAKE

WANAWAKE WAFANYAKAZI WA NBC WAZINDUA MTANDAO UTAKAOJUMUISHA WATEJA WANAWAKE

01Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Mizinga Melu (katikati) na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Grace Rubambey (kushoto) na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wafanyakazi Wanawake wa NBC, Cynthia Ponera wakibonyeza kitufe jijini Dar es Salaam ili kuzindua kwa mara ya pili Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC utakaojumuisha pia wateja wanawake.02 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Mizinga Melu (kulia) akimwekea  kinywaji  Mwenyekiti wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Grace Rubambey (kushoto) katika hafla ya uzinduzi wa mara ya pili wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC utakaojumuisha pia wateja wanawake. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hispitali ya Taifa Muhimbilki, Dk Marina  Njelekela.03Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Mizinga Melu (kulia) akibadilishsna mawazo na  Mwenyekiti wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Grace Rubambey (katikati) katika hafla ya uzinduzi wa mara ya pili wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC utakaojumuisha pia wateja wanawake. Kushoto ni Meneja Masoko wa NCB, Alina Maria Kimaryo.04Mwenyekiti wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC, Cynthia Ponera (wa pili kulia) akizungumza na baadhi wa wateja wanawake wa benki hiyo waliohudhuria uzinduzi huo.05Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tano kulia) akipiga picha na baadhi ya wafanyakazi wa kitengo cha Huduma Binafsi za Kibenki kwa Wateja Wakubwa katika jengo la Coco Plaza jijini Dar es Salaam baada ya uzinduzi huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI

HATUNA TISHIO LA USALAMA MWANZA, HAKUNA WA KUJITANGAZIA JAMHURI YAO - RC MTANDA