PICHA KUTOKA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO: KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA WATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO


 Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dk. Philip Mpango akizungumza wakati wa Ziara hiyo.
 Manaibu Katibu Watendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakifuatilia kwa makini michango iliyokuwa ikitolewa na wajumbe wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala.
Wajumbe wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala walipotembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kukagua utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Idadi ya Watu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, Mhe. William Mganga Ngeleja akizungumza na watendaji na menejimenti ya Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakati Kamati yake walipotembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kukagua utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Idadi ya Watu.Picha na Thomas Nyindo, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI