USTAZ JUMA NA MUSOMA AMKERA MIKE TEE KISA CHA KUMDHALILISHA PNC.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibVWDWC4zesCi6nk1s4i-MCm57ua2HpKtaN43j6iuDvoPHwMAw8Dgn3qaN41-AdbguJ1Ysug5CGnTTMNmUIcOoP1lOIJCqFVn3Nhg8lFRpF8CnUqAvQT23svAGxACI1m5aE3vXcoF0HIE/s1600/Mike-tee.gif
MSANII mwenzangu PNC kadhalilishwa sana na OSTADH JUMA kwenye MEDIA zote, me toka jana natafakari sana kwa mtu mzima kufanya kitendo kama kile, upande wangu nimeumia na nimeona kama mimi nimefanyiwa kitendo kile.

Sasa basi wasanii wenzangu, washabiki wetu , viongozi wa ngazi mbalimbali tunajua mambo haya yapo lakini yana kipimo, tukikaa kimya wako watakaotuvua nguo hadharani kisa sisi wasanii ambao tunadharaurika hatuna elimu hatuna kipato ila tunatumika na wachache kupata wanachotaka.

Je tufanye nini me nimeshindwa cha kufanya we need your support wenye uchungu wa muziki wetu na wasanii wa TANZANIA kwa ujumla.


Ostaz Juma katika picha inayoonyesha kuwa ni ya kumdhalilisha PNC.

 
Tangu jana usiku kuna picha ilikua inasambaa ikimwonyesha Msanii PNC akiwa amempigia magoti boss wake wa zamani Ostaz Juma na Musoma, akiwa anamwuomba msamaha, huku Ostaz anaonekana akiwa amekalia kochi huku amekunja nne.


Picha imekua gumzo, wengi wakidai kuwa kitendo cha picha hizo kupigwa na kusambazwa hasa Ostaz mwenye kuipost picha hiyo kwenye mtandao wa Instagram ni kumdhalilisha msanii huyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI