WEMA SEPETU SASA AMEACHA UTOTO NA DIAMON

 
Sifa ya wanaume anaowapenda Wema Sepetu.

MINGONI mwa mastar wa Tanzania wenye ushawishi mkubwa ni pamoja na Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame inayojishughulisha zaidi na utengenezaji wa Filamu mbalimbali.

Kupitia kipindi cha Leo tena February 28 Wema Sepetu amekubali kutaja sifa za mwanaume anayempenda kuwa na mvuto kwake,swali lililoulizwa na Watangazaji wa kipindi hicho ni kuhusu mwanaume wa sifa gani anayedhani anaweza kuolewa nae ambapo Wema alijibu >>’Kuolewa sio shida je huyo mwanaume nampenda, maana naweza kuja kuchumbiwa lakini nisimpende’

‘Mimi nampenda Mwanaume mweusi,wanaume weupe sio kwamba sijawahi kuwa nao lakini nakuwa sina mzuka nao’.

Alipoulizwa kuhusu uhusiano wake na Diamond amekiri kwa kusema Kweli niko na Nasib [Diamond] na nadhani muda huu kutakua na utulivu ndani yake, ule utoto tuliokua tunafanya nadhani ulikua utoto na imekua Power Couple toka mwaka 2010 kwa hiyo tuna ni miaka 4 sasa, kwa sasa tumeamua kuwa serious’.

Wema Sepetu pia kaandamana na Ant Ezekiel kwenye interview ya kipi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI