CCM KUENDELEA NA KAMPENI KATIKA JIMBO LA CHALINZE


 Hizi ni Changamoto tu za wakati wa kampeni kata ya Mandera
 Kata ya Pera.
 Kata ya Bwilingu
 Kata ya Lugoba
 Mkoa wa Vyuo Vikuu bega kwa bega katika kufanikisha ushindi kwa CCM Chalinze
 Kila mwenye uwezo wa kucheza alicheza siku ya ufunguzi wa kampeni.
CCM kushinda Chalinze kwa aina yake ya Kampeni ya kistaarabu. Mgombea wake aonekana kuyajua matatizo ya wananchi vizuri na majibu ya matatizo yao.

Ridhiwani ajinadi kwa sera safi za utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM. Tangia ameanza Kampeni hajawahi hata siku moja kuzungumzia upinzani, ametumia muda mwingi kuzungumzia maendeleo ya Jimbo la Chalinze. Viongozi mbalimbali wa CCM na Jumuiya zake waja kumuunga mkono Chalinze. Tofauti na wagombea wa Vyama vingine Ridhiwani ameweza kufika kila kata ,kijiji kwa kijiji kitongoji kwa kitongoji.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI