WIMBO WA KOMBE LA DUNIA 2014 : PITBULL FT. JLO & CLAUDIA – WE ARE ONE [OLE OLA].


P1
Hatimaye wimbo rasmi kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia 2014 itayofanyika nchini brazil umetoka na kuanza kuchezwa kwenye vituo mbalimbali vya redio Duniani. jina la wimbo ni ‘We are one[ole Ola] umeimbwa na wasanii wa kimataifa akiwemo Jennifer lopez, pitbull na mwanamuziki wa Brazil Claudia Leitte.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI