Waziri Mkuu mhe. Mizengo Pinda na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo baada ya bejeti kupita

 
PG4A1195 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo(kulia) na mkewe, Bertha Mamuya (kushoto) baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kupitishwa na Bunge Mjini Dodoma, Mei 30, 2014.Wengi ni Mabinti wa Waziri huyo,Bertha Kimariyo (wapili kushoto) na Nyasige Peter.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A1185Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na familia ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Peter Muhongo (hayupo pichani) baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo mjini Dodoma Mei 30, 2014. Wapili kulia ni Mke wa Waziri huyo, Bertha Mamuya na wengine ni mabinti wa Waziri , Nyasige Sospeter (kushoto) na Bertha Kimariyo . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI