Rais Dk.Ali Mohamed Shein akutana na Mkurugenzi Mtndaji wa ICT


IMG_2933Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Kibiashara cha Kimataifa Internationali Trade Center ICT Bibi Arancha Gonzalez walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]IMG_2952Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Kibiashara cha Kimataifa International Trade Center,ICT Bibi Arancha Gonzalez akiwa na ujumbe wake jana katika jingo la mkutano wa Tatu wa kimataifa wa nchi za Visiwa.IMG_2982 Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa makumbusho ya Taifa nchini Samoa Mainifo  Viliamu,alipotembelea jana akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwa ziarani huko katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.] IMG_2996Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakipewa maelezo jana wakati walipotembelea Makumusho ya Taifa la nchi ya Samoa na msimamizi wa makumbusho hiyo Mainifo Viliamu.[Picha na ramadhan Othman,Samoa.] IMG_2813Baadhi ya mabanda ya maonesho ya biashara mbali mbali katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa ,mkutano huo wa siku nne unaendelea katika nchi ya Samoa.[Picha na Ramadhan Othman,Samaoa.] IMG_2814Baadhi ya mabanda ya maonesho ya biashara mbali mbali katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa ,mkutano huo wa siku nne unaendelea katika nchi ya Samoa.[Picha na Ramadhan Othman,Samaoa.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

BREAKING NEWS | MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO AFARIKI DUNIA

BODI YA LIGI YAKIRI MAKOSA, WAIOMBA YANGA WAYAMALIZE

#MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA MJI WA KIHISTORIA WA MOSHI MKOANI KILIMANJARO

HUU NDIO UKWELI ULIVYO RAFIKI YANGU

BODI YA LIGI SASA WAOMBA HEKIMA NA BUSARA ITUMIKE DERBY YA YANGA, SIMBA

RATIBA KAMILI YA HARUSI YA DIAMOND, ZUCHU

MWANAMKE ALIYEVUNJA REKODI KWA KUZAA WATOTO 69

TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI 10 ZINAZOONGOZA KWA MAZAO YA KILIMO AFRIKA