KOMREDI KINANA AFANYA KWELI BUKOBA VIJIJINI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kushoto) akiwanyanyua mikono juu ikiwa ni ishara ya kiuwakabidhi msaada wa baiskeli makati wa matawi wa CCM Jimbo la Jmbo la Bukoba Vijijini wakati wa mkutano wa hadhara katika Kata ya Katoro, mkoani Kagera. Msaada huo umetolewa na Mbunge wa Jimbo hilo, Jasson Rweikiza (kushoto kwake)
 Komredi Kinana akishiriki kufukia bomba la maji katika Kijiji cha Ibwera, Bukoba Vijijini. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongela.
 Wananchi wakimlaki Komredi Kinana alipokuwa akiingia kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Katoro, Jimbo la Bukoba Vijijini
 Wananchi wakinyoosha mikono juu ikiwa ni ishara ya kukibali chama Cha Mapinduzi katika Kijiji cha Kemondo, Bukoba vijijini.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Kemondo, Bukoba Vijijini
 Komredi Kinana akiutaka uongozi wa Halmashauri ya Bukoba Vijijini, kupunguza viwango vya ushuru kwa wafanyabiashara katika eneo hilo.
 Mmoja wa wafanyabiashara wa Kemondo, akilalamikia viwango vikubwa  vya ushuru wanavyotozwa na Halmashiuri
 Komredi Kinana akizungumza jambo na Mhandisi wa maji wa Wilaya ya Bukoba kuhusu tatizo la umaliziaji wa Mradi wa Maji katika Kijiji cha Ibwera ambao umecheleshwa kukamilika
 Komrdi Kinana akifungua kitambaa ikiwa ni ishara ya uziinduzi Ofisi ya CCM Kata ya Rukoma. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA; KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Komredi Kinana akihutubia katika Kata ya Rukoma.

 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza akielezea kuhusu miradi mbalimbali iliyotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi

Komredi Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Rukoma, Bukoba vijijini
WAananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara katika Kata ya Katoro
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Karamadi akiwasalimia wakati wa mkutano wa hadhara Jimbo la Bukoba Vijijini
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akihutubia katika mkutano wa hdhara katika Kata ya Katoro.
Komredi Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Katoro, Bukoba Vijijini
Komredi Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata vya Katoro, Jimbo la Bukoba Vijijini
Komredi Kinana akisalimiana na mmoja wa wazee wa Kata ya Katoro

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI