Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano la Nne la Sayansi, Teknolojia
na Ubunifu kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Juni 24, 2015.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoma kwa Profesa Nerey Mvungi
wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam juu ya Ubunifu wake wa kutengeneza mfumo
wa kidigitali wa kusaidia kupambana na ajali barabarani kabla
hajafungua Kongamano la Nne la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
leo Juni 24, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoma kwa kijana Godfrey Magila
wa Magilatech Company Ltd. juu ya Ubunifu wake wa kutengeneza mfumo wa
teknolojia ya mawasiliano rahisi kabla hajafungua Kongamano la Nne la
Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 24, 2015
PICHA NA IKULU
Comments