SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS 2015

 Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye, akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wadau wengine wakati akitangaza nia ya kuwania nafasi ya urais wakati ukifika iwapo jina lake litapitishwa na chama chake cha CCM.
 Wanaccm wakiwa kwenye mkutano wa kutangaza nia ya urais Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.
 Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye, akiingia ukumbini katika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro Dar es Salaam, akiwa ameongozana na mke wake Ester Frederick Sumaye kwa ajili ya kutangaza nia ya kuwania nafasi ya urais wakati ukifika iwapo jina lake litapitishwa na chama chake cha CCM.
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye, akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wadau wengine wakati akitangaza nia ya kuwania nafasi ya urais wakati ukifika iwapo jina lake litapitishwa na chama chake cha CCM. (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE