Afisa Mwandamizi Idara ya Huduma
na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rose
Mahendeka akiwasilisha Taarifa ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la
Thamani ya mwaka 2014 kwa viongozi wa Baraza la Maaskofu Tanzania na
kuwaeleza jinsi ilivyoziongelea jinsi ilivyozieleza Taasisi za Dini hasa
katika masuala ya ulipaji kodi, wakati wa Mkutano uliofanyika leo
Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Viongozi wa Dini
wakimsikiliza Bi. Rose Mahendeka alipokuwa anawasilisha Taarifa ya
Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati wa
Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Askofu Mkuu Paul Ruzoka wa Jimbo
la Tabora akichangia kwenye moja ya maeneo ya Sheria mpya ya Kodi ya
ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati wa Mkutano uliofanyika leo
Jijini Dar es Salaam.
Father Longino Rutagwelera wa Chuo
Kikuu cha Mtakatifu Agustino tawi la Mtwara akichangia kwenye moja ya
maeneo ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014,
wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu
Katoliki Tanzania Fr. Raymond Saba akiongea na wajumbe wa Baraza hilo
waliohudhuria mkutano huo uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mwandamizi Idara ya Huduma
na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rose
Mahendeka akiwaeleza jambo wajumbe wa baraza la Maaskofu Tanzania
wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Na Hassan Silayo-MAELEZO
Comments