Abdulrahman Kinana AWAHUTUBIA WAKAZI WA JIMBO LA NYAMAGANA VIWANJA VYA MILONGO MKOANI MWANZA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Milongo mkoani Mwanza kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Milongo mkoani Mwanza kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa CCM imewaletea Rais mchapakazi, mwenye rkodi nzuri ya ufuatiliaji na anayechukia rushwa.
Mgombea ubunge wa jimbo la Nyamagana Ndugu Stanslaus Mabula akihutubia wakazi wa Milongo kwenye mkutano wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI