RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KUAGA NCHINI KENYA

 Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe Haule wakisogea eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni
 Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akisalimiana na kikundi cha kuimba Accapella  eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni
 Ndege la Shirika la Ndege la Air Tanzania iliyomchukua Rais Kikwete ikiwasili uwanjani hapo
 Rais Kikwete akishuka katika ndege

Rais Kikwete akilakiwa kwa furaha na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
 Rais Kikwete akipokea shada la maua
 Rais Kikwete akitambulishwa kwa viongozi na maafisa mbalimbali wa Kenya
 Rais Kikwete akisalimiana na maafisa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya
 Rais Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE