Benki ya Barclays yazindua program ya kuwawezesha wahitimu wa vyuo vikuu


 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed
(kushoto), akizungumza jijini Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa
proram ya ReadytoWork inayolenga kuwapa elimu wanafunzi wa elimu ya
juu kujiandaa na ajira au kujiajiri. Wa tatu kushoto ni Mkuu wa Elimu
ya Juu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Lazaro Malili.
 Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania, Aron
Luhanga (kushoto), akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa
uzinduzi wa proram ya ReadytoWork inayolenga kuwapa elimu wanafunzi wa
elimu ya juu kujiandaa na ajira au kujiajiri. Kushoto kwake ni
Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Abdi Mohamed, Mkuu wa Elimu ya Juu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Lazaro Malili na Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Junior Achievement, Hamisi Kasongo.
 Mmoja wa wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Kilonzo
Mringo (kushoto), akiuliza swali wakati wa uzinduzi wa proram ya
ReadytoWork ya Benki ya Barclays inayolenga kuwapa elimu wanafunzi wa
elimu ya juu kujiandaa na ajira au kujiajiri uliofanyika jijini Dar es
Salaam leo.

 Mkuu wa Elimu ya Juu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
Lazaro Malili (kushoto), akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa
program ya ReadytoWork ya Benki ya Barclays inayolenga kuwapa elimu
wanafunzi wa elimu ya juu kujiandaa na ajira au kujiajiri uliofanyika
jijini Dar es Salaam leo.
Wasanii wa kikundi cha Mama Afrika wakitoa burudani wakati wa
uzinduzi wa proram ya ReadytoWork ya Benki ya Barclays inayolenga
kuwapa elimu wanafunzi wa elimu ya juu kujiandaa na ajira au kujiajiri
uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)

WAGGGS AFRIKA WAIPONGEZA TGGA KWA KUONGOZA AFRIKA KUSAJILI GIRL GUIDES WENGI