Preview YouTube video Mvua Yasababisha Kifo Cha Mtu Mmoja Dar es Salaam
Preview YouTube video Rais Ateua Tume Ya Kuchunguza Mchanga Wa Madini
Preview YouTube video Hoteli Katika Hifadhi Ya Ngorongoro Zapewa Notisi Ya Miezi Sita
Preview YouTube video CCM Yatangaza Wagombea Wa Ubunge Wa Afrika Mashariki
Preview YouTube video China Yazindua Mradi Wa Television Ya Kidigitali Nungwi
Preview YouTube video Wazazi Waelekeza Watoto Kujibu Uongo Kwenye Mitihani
Preview YouTube video Viongozi Waaswa Kuwaelimisha Wananchi Kulinda Miundombinu Ya Gesi
Preview YouTube video Ubovu Wa Miundo Mbinu Waathiri Uchumi Wa Wananchi
Preview YouTube video Yanga Na MC Algers Kuvaana April Nane DSM
Preview YouTube video Waziri Mwakyembe Kumaliza Sintofahamu Ya Haki Miliki Za Wasanii
MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA
* Bi Julie Mkulo*Anasikitika kutangaza kifo cha mume wake *Bw.Mustafa Mkulo* kilichotokea Leo *04-05-2024* Katika *hospital ya Muhimbili Dar es salaam* Shughuli zote za mazishi zitakuwa *Msikiti Maamur* *04-05-2024* Maziko yatakuwa jumapili *05-05-2024* Kilosa Morogoro Taarifa zaidi zitatolewa baadae *Inna lillahi wa inna ilayhi rajioon* Pumzika kwa amani Mustafa Haidi Mkulo, Waziri wa zamani wa Fedha na Mbunge wa zamani wa Kilosa.
Comments