HABA NA HABA DANCE FESTIVAL ILIVYOBAMBA KATIKA UKUMBI WA NAFASI ARTS SPACE

--
 Wasanii wa kikundi cha Sanaa za ngoma na sanaa za maonyesho Msimamo Group wakitumbuiza katika Tamasha la Haba na Haba lilifanyika katika Ukumbi wa Nafasi Art Space Mikocheni
 Wasanii wa kikundi cha Sanaa za ngoma na sanaa za maonyesho Msimamo Group wakitumbuiza katika Tamasha la Haba na Haba lilifanyika katika Ukumbi wa Nafasi Art Space Mikocheni
 Wapigaji wa ngoma wa kikundi cha Msimamo Art Groupwakifanya yao katika Tamasha la Haba na Haba
 Msani Baraka Wesley kutoka nchini Rwanda akionyesha mchezo wake wa Contemporary Dance  wadau mbalimbali waliofika katika Tamasha la Haba na Haba Nafasi Art Mikocheni
 Wasanii wa mchezo wa jukwaani kutoka kundi la Haba na haba wakitumbuiza mchezo uliokwenda kwa jina la There is no Feture Word for Fiture in Swahili?
 Wasanii wa mchezo wa jukwaani kutoka kundi la Haba na haba wakitumbuiza mchezo uliokwenda kwa jina la There is no Feture Word for Fiture in Swahili?
 Wasanii wa kundi la Nantea Dance Company  Tanzania wakionyesh mchezo wao jukwaani
 Wasanii wa kundi la Haba na haba wakionyesha mchezo wa WD Forest Tanzania katika Tamasha la Haba na Haba
watu mbalimbali wakijumuika katika kucheza ngoma za asili katika Tamasha la Haba na haba

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA