LIJUE KABILA LA ETHIOPIA AMBALO MKE HUOMBA KUPIGWA NA MUMEWE KUDUMISHA UPENDO

 Fahamu kabila la Hamar,lililoko nchini Ethiopia ambalo mwanamke huomba kuchapwa viboko kikatili ikiwa ni kuonesha upendo kwa mume wake.
Hili tendo la kuchapwa kikatili namna hii inaitwa Ukuli Bula.
Yawezekana kabisa wale mashemeji zetu wa kanda maalum a.k.a Sasa unaingia Mara, Be Strong, wanadamu ya huku eti?
Sasa swali la kizushi: Hivi ni jambo gani wamama wa Iringa kwa ujumla wake wanafanya ili kuonesha kupendwa na waume zao au tuseme tu kupendwa na mume wa Kinyakyusa?



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

MONGELLA AKABIDHIWA ‘MIKOBA’ RASMI YA NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA*

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI