VALENTINA GONZA WA TGGA ANAYEIWAKILISHA VEMA TANZANIA NCHINI MADAGASCAR

 Valentina Gonza Girl Guide wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), akivinjari katika mandhari ya nchi ya Madagascar ambako ameiwakilisha TGGA katika mafunzo ya kubadilishana uzoefu na chama cha Girl Guides cha huko. Hubadilishana uzoefu katika masuala ya uongozi, utamaduni, maadili na kushiriki kwenye kazi mbalimbali ikiwemo kuhifadhi mazingira. Imeandaliwa na Richard Mwaikenda;Kamanda wa Matukio Blog-0715264202,0754264203
 Mandhari ya Kijani Kibichi nchini Madagascar
 Valentina (aliyevaa pinki) akishiriki na Girl Guides WENYEJI NA WENGINE KUTOKA NCHI MBALIMBALI
 Valentina Gonza wa Tanzania (kulia) akisaidia na wenzie kubeba kapu la bustani ya majani
 Valentina akiwa akiwa na wenzie
 Akifurahia madhari nzuri ya Madagascar

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

KWA KHERI MAKARANGA UMEUTIMIZA MWENDO...

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KATI YA WATOTO 7 WA HAYATI MAGUFULI ANAYEJULIKANA ZAIDI NI JESCA

KIKOSI KILICHOITWA TAIFA STARS HIKI HAPA

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026

KIJANA WA KINYAKYUSA WA ENZI HIZO, NUSURA AMCHAPE WAZIRI MUONGO BUNGENI

WANAJESHI WAGOMA KWENDA IRAN KUPIGA