DK MAGUFULI AHAMISHIA MAFURIKO YA KAMPENI ZA CCM MKOANI MPANDA on August 24, 2015

DK MAGUFULI AHAMISHIA MAFURIKO YA KAMPENI ZA CCM MKOANI MPANDA

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
 Wananchi wakishangilia wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa  Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi
 Sehemu ya umati wa wananchi  wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli (kulia)  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
Sehemu ya umati wa wananchi  wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli (kulia)  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, 
 Wananchi wakishangilia wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Mji wa Katumba , mkoani Katavi. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
 Dk. Magufuli akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Majalila, wilayani Mpanda, ambapo aliahidi kujenga barabara ya Mpanda Kigoma kwa kiwango cha lami endapo wananchi wakimchagua.
 Mzee akifurahia hotuba ya Mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM, Dk. John Magifuli katika Kijiji cha Vikonge aliposimama kwa muda kuwasalimia wananchi  akielekea Kata ya Mishimo kufanya kampeni wilayani Mpanda, Katavi.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia kabla ya kumtambulisha Mgombea urais wa Tanzania Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Mishimo, Mpanda mkoani Katavi.
 Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Mishimo Mpanda

 Sehemu ya umati wa wananchi  wakimsikiliza Dk John Magufuli katika Kata ya Mishimo
 Dk Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni katika Kata ya Mishimo ambapo aliahidi kuunda baraza litakalofanya kazi zaidi ya yeye. Pia ataanziasha Mahakama ya Wala rushwa na Mafiusadi
 Wakazi wa Kata ya Katumba, wilayani Nsimbo, Mkoa wa Katavi wakishangilia kwa furaha walipomuona Dk Magufuli akitambulishwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimtambulisha Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata ya  Katumba, wilayani Nsimbo

 Dk. Magufuli akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Azimio  mjini Mpanda.
 Ni furaha iliyoje kwa wananchi wakati Dk. Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Mpanda leo
Dk. Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  kabla ya kupanda jukwaani kuhutubia mjini Mpanda.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA