KASAKA ATAKA SHERIA IBADILISHWE TTCL WAMILIKI MINARA KWA USALAMA WA NCHI+video

 

 Mbunge wa Lupa, wilayani Chunya, Masache Kasaka ameishauri serikali kupeleka sheria bungeni ya kulifanya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuachana na bisahara ya mitandao bali imiliki minara, jambo ambalo litasaidia usalama wa nchi. 


 Kasaka ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bungeni Dodoma Mei 20, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kasaka akitoa ushauri wake huo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI