MBUNGE BENAYA AHOJI BUNGENI IWEJE MBINGA FEDHA ZA BARABARA ZIGEUZWE KUWA ZA ANUANI ZA MAKAZI+video

 




Mbunge wa Mbinga Vijijini, Benaya Kapinga, amelalamika bungeni kitendo cha kuchukua fedha zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara kuipeleka kwenye mradi wa anuani za makazi.

Malalamiko hayo ameyatoa alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari bungeni Dodoma Mei 20, 2022. Hata hivyo, Waziri wa wizara hiyo, Nape Nnauye amewataka waliohusika kufanya hivyo kurudishaharaka fedha hizo kwenye mradi wa barabara.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kapinga akisikitika kuhusu kitendo hicho....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE