KASAKA AISIFU BAJETI IMEGUSA KILA KONA YA MIRADI YA MAENDELEO LUPA, CHUNYA+video

 Mbunge wa Jimbo la Lupa, Chunya mkoani Mbeya, Masache Kasaka akielezea kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa na itakayotekelezwa katika jimbo lake baada ya Bajeti Kuu ya Serikali kupitishwa.

Kasaka ameyazungumza hayo baada ya kumalizika kwa Bunge la Bajeti katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 30, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kasaka akielezea mafanikio makubwa ya Bajeti hii inavyokwenda kuwanufaisha wananchi wa jimbo hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MONGELLA AKABIDHIWA ‘MIKOBA’ RASMI YA NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA*

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI