MAKAMU WA RAIS, DKT MPANGO AZINDUA MITAMBO YA KISASA YA UCHORONGAJI YA STAMICO

 


Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango akikata utepe kuzindua mitambo ya kuchoronga miamba ya madini iliyonunuliwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) katika hafla wakati wa  maadhimisho ya miaka 50 ya shirika hilo kwenye viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Agosti 12, 2022.
Dkt Mapngo akijadiliana jambo na Waziri wa Madini, Doto Biteko.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO, Dkt Venance Mwasse akielezea kuhusu ununuzi wa mitambo hiyo.





 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE