BUTONDO ASIKITIKA SERIKALI KUTENGA FEDHA KIDUCHU UJENZI WA BARABARA YA KOLANDOTO- MWANGONGO+video


 Mbunge wa Kishapu, Boniface Butondo amehoji bungeni Dodoma Septemba 21, 2022, ni kwani serikali imetenga kiasi kidogo cha sh. bilioni moja tu kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Kolandoto hadi Mwangongo?

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Butondo akionesha wasiwasi kama fedha hiyo inaweza kukamilisha ujenzi wa barabara hiyo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE