KASAKA: NI LINI SERIKALI ITATENGA FEDHA KUKARABATI WA VITUO VYA AFYA CHAKAVU LUPA?+video



 Mbunge wa Lupa, wilayani Chunya, Masache Kasaka amehoji bungeni Dodoma Septemba 21, 2022, ni lini serikali itatenga fedha za kukarabati vituo vya afya viliyochakaa katika jimbo la Lupa?

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kasaka akiuliza swali hilo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI