MAGESSA: AIBANA SERIKALI BUNGENI UKARABATI VITUO VYA AFYA CHIKOBE NA BUKOLI BUSANDA+video



Serikali imetenga sh. milioni 500 kwa ajili ya kukarabati kituo cha afya Chikobe na sh. mil. 400 Kituo cha Afya Bukoli katika Jimbo la Busanda wilayani Geita. Kiasi hicho cha fedha kimetajwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt Festo Dugange baada ya kuulizwa swali na Mbunge wa jimbo hilo, Tumaini Magessa kwamba ni lini serikali itaanza kukarabati vituo hivyo. Swali lake hilo liliulizwa kwa niaba yake na Mbunge wa Geita Mjini, Costantine Kanyasu bungeni Dodoma Septemba 21, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Dugange akijibu swali hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI